jagomart
digital resources
picture1_Declaration Under Penalty Of Perjury Swa


 150x       Filetype PDF       File size 0.16 MB       Source: nlihc.org


File: Declaration Under Penalty Of Perjury Swa
tangazo chini ya adhabu ya kiapo cha uwongo la vituo vya kudhibiti na kuzuia magonjwa usitishaji wa muda wa uhamisho ili kuzuia kusambaa zaidi kwa covid 19 declaration under penalty ...

icon picture PDF Filetype PDF | Posted on 23 Sep 2022 | 3 years ago
Partial capture of text on file.
      TANGAZO CHINI YA ADHABU YA KIAPO CHA UWONGO LA VITUO VYA 
      KUDHIBITI NA KUZUIA MAGONJWA USITISHAJI WA MUDA WA UHAMISHO ILI 
      KUZUIA KUSAMBAA ZAIDI KWA COVID-19 
      DECLARATION UNDER PENALTY OF PERJURY FOR THE CENTERS FOR 
      DISEASE CONTROL AND PREVENTION’S TEMPORARY HALT IN EVICTIONS TO 
      PREVENT FURTHER SPREAD OF COVID-19  
      Ninathibitisha chini ya adhabu ya kiapo cha uwongo, kulingana na 28 U.S.C. 1746, 
      kwamba yaliyotangulia ni ya kweli na sahihi:   
      I certify under penalty of perjury, pursuant to 28 U.S.C. 1746, that the foregoing are true 
      and correct:  
      Nimetumia juhudi bora kupata msaada wote unaopatikana wa serikali kwa kodi au 
      nyumba;  
      I have used best efforts to obtain all available government assistance for rent or 
      housing;  
      Aidha ninatarajia kupata sio zaidi ya $99,000 kwa mapato ya kila mwaka kwa Mwaka 
      wa Kalenda 2021 (au sio zaidi ya $198,000 ikiwa ninajaza fomu ya malipo ya kodi ya 
      pamoja), sikuhitajika kuripoti mapato yoyote katika mwaka wa 2020 kwa Huduma ya 
      Mapato ya Ndani ya Marekani, au kupokea Malipo ya Athari za Kiuchumi (hundi ya 
      kichocheo) kulingana na Sehemu ya 2201 ya Sheria ya CARES;  
      I either expect to earn no more than $99,000 in annual income for Calendar Year 2020 
      (or no more than $198,000 if filing a joint tax return), was not required to report any 
      income in 2019 to the U.S. Internal Revenue Service, or received an Economic Impact 
      Payment (stimulus check) pursuant to Section 2201 of the CARES Act;  
      *Siwezi kulipa kodi yangu kamili au kulipa malipo kamili ya nyumba kwa sababu ya 
      upotezaji mkubwa wa mapato ya nyumba, upotezaji wa masaa ya kulipwa ya kazi au 
      mishahara, kuachishwa kazi, au gharama za matibabu za mfukoni zisizo za kawaida; 
      *I am unable to pay my full rent or make a full housing payment due to substantial loss 
      of household income, loss of compensable hours of work or wages, lay-offs, or 
      extraordinary out-of-pocket medical expenses;  
                              
      Ninatumia juhudi bora kufanya malipo kidogo kwa wakati unaofaa ambayo yanakaribia 
      malipo kamili kulingana na hali ya mtu binafsi inavyoruhusu, nikizingatia gharama 
      zingine zisizo za hiari;  
      I am using best efforts to make timely partial payments that are as close to the full 
      payment as the individual’s circumstances may permit, taking into 
      account other nondiscretionary expenses;  
      Ikiwa nitahamishwa kuna uwezekano nitakosa makao, nitahitaji kuhamia kwenye makao 
      ya wasio na makazi, au nitahitaji kuhamia kwenye makao mapya yanayoshirikiwa na 
      watu wengine ambao wanaishi kwa ukaribu kwa sababu sina chaguzi zingine za makazi 
      zinazopatikana .  
      If evicted I would likely become homeless, need to move into a homeless shelter, or 
      need to move into a new residence shared by other people who live in close quarters 
      because I have no other available housing options.  
      Ninaelewa kuwa bado lazima nilipe kodi au nilipie malipo ya nyumba, na kutii majukumu 
      mengine ambayo ninaweza kuwa nayo chini ya upangaji wangu, makubaliano ya 
      kukodisha, au mkataba kama huo. Ninaelewa zaidi kuwa ada, adhabu, au riba kwa 
      kutolipa kodi au kulipa malipo ya nyumba kwa wakati usiofaa kama inavyotakiwa na 
      upangaji wangu, makubaliano ya kukodisha, au mkataba kama huo bado inaweza 
      kutozwa au kukusanywa.  
      I understand that I must still pay rent or make a housing payment, and comply with 
      other obligations that I may have under my tenancy, lease agreement, or similar 
      contract. I further understand that fees, penalties, or interest for not paying rent or 
      making a housing payment on time as required by my tenancy, lease agreement, or 
      similar contract may still be charged or collected.  
      Ninaelewa zaidi kuwa mwishoni mwa usitishaji huu wa muda wa uhamisho mnamo 
      Machi 31, 2021 mtoa huduma wangu wa nyumba anaweza kuhitaji malipo kamili kwa 
      malipo yote ambayo hayajafanywa kabla ya na wakati wa usitishaji wa muda na kutolipa 
      kunaweza kunifanya nihamishwe kulingana na sheria za Jimbo na mitaa. Ninaelewa 
      kuwa taarifa zozote za uwongo au za kupotosha au upungufu zinaweza kusababisha 
      vitendo vya uhalifu na vya wenyewe kwa wenyewe kwa faini, adhabu, uharibifu, au 
      kifungo.  
      I further understand that at the end of this temporary halt on evictions on March 31, 
      2021, my housing provider may require payment in full for all payments not made prior 
      to and during the temporary halt and failure to pay may make me subject to eviction 
      pursuant to State and local laws. I understand that any false or misleading statements 
      or omissions may result in criminal and civil actions for fines, penalties, damages, or 
      imprisonment.  
      _________________________                            ________________ 
      Saini ya Mtangazaji                                             Tarehe 
      Signature of Declarant                                          Date 
The words contained in this file might help you see if this file matches what you are looking for:

...Tangazo chini ya adhabu kiapo cha uwongo la vituo vya kudhibiti na kuzuia magonjwa usitishaji wa muda uhamisho ili kusambaa zaidi kwa covid declaration under penalty of perjury for the centers disease control and prevention s temporary halt in evictions to prevent further spread ninathibitisha kulingana u c kwamba yaliyotangulia ni kweli sahihi i certify pursuant that foregoing are true correct nimetumia juhudi bora kupata msaada wote unaopatikana serikali kodi au nyumba have used best efforts obtain all available government assistance rent or housing aidha ninatarajia sio mapato kila mwaka kalenda ikiwa ninajaza fomu malipo pamoja sikuhitajika kuripoti yoyote katika huduma ndani marekani kupokea athari za kiuchumi hundi kichocheo sehemu sheria cares either expect earn no more than annual income calendar year if filing a joint tax return was not required report any internal revenue service received an economic impact payment stimulus check section act siwezi kulipa yangu kamili sababu ...

no reviews yet
Please Login to review.